Bodi
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa,Bukoba kwa sasa inaundwa na jumla ya wajumbe 9ambao wanendelea kuisimamia Hospitali pamoja na Kamati Tendaji ya Hospitali [RRHMT] na Kamati Tendaji wa ya Mkoa [RHMT] katika kuhakikisha Kazi za kila siku zinafanyika kwa lengo la kuimarisha huduma bora wakati wote.
Wafuatao ni wajume wa Bodi ya Ushauri ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba
1.Dkt. George Buberwa – Mwenyekiti wa Bodi
2.Dkt. Museleta Nyakiroto – Katibu wa Bodi (MOI)
3.Dkt. Samwel Laizer – Mjumbe (RMO)
4.Dkt. James B. Basheka - Mjumbe
5.Bi Leonida Rweyemamu - Mjumbe
6.CPA Paul Simon – Mjumbe
7.Bw. Manase R. Mbbaga - Mjumbe
8.Wakili Abel Rugambwa - Mjumbe
9.Bi. Justina Shuzary - Mjumbe





