Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba wamepatiwa mafunzo maalum ya utoaji wa huduma za dharura na mahututi (Emergency and Critical Care Capacity Building), yakilenga kuimarisha uto... Read More
Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba wamepatiwa mafunzo maalum ya utoaji wa huduma za dharura na mahututi (Emergency and Critical Care Capacity Building), yakilenga kuimarisha uto... Read More
Wataalam wa Fiziotherapia (Physiotherapy) kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba wameeleza umuhimu wa huduma wanazotoa mojawapo ikiwa ni mazoezi tiba kwa watoto wenye matatizo ya maungio,... Read More
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba (BRRH) Kagera Museleta Nyakiroto, amesema uwepo wa huduma za kibingwa pamoja na madaktari bingwa katika hospitali hiyo umeleta man... Read More
Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba wamepatiwa elimu maalum ya jinsi ya kuwahudumia watoto wachanga wanaokabiliwa na ugonjwa wa manjano, unaojulikana kitaalamu kama Neonatal Hype... Read More
Wananchi wa Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera, wameendelea kuhamasishwa kujitokeza kwa wingi katika kambi maalum ya uchunguzi na matibabu ya afya ya macho inayoendeshwa katika Kituo cha Afya Nk... Read More
Wajumbe wa Bodi ya Ushauri ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba wameendelea kuweka mikakati madhubuti ya kuboresha huduma baada ya kufanya kikao chao leo na kujadili masuala muhimu yanayohu... Read More
Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba wamepatiwa elimu muhimu kuhusu Haki na Wajibu wa Mteja (mgonjwa) na Mtoa Huduma za Afya kupitia wasilisho lililotolewa na Afisa Tawala na Rasi... Read More
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kagera, Dkt. Museleta Nyakiroto, amewasihi watumishi wa hospitali hiyo kuendelea kutoa huduma bora, zenye upendo na weledi kwa wananchi wa... Read More
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Bukoba, kupitia Idara ya Sikio, Pua na Koo (ENT), imeadhimisha Siku ya Usikivu Duniani kwa kutoa elimu kuhusu usikivu na huduma za uchunguzi wa masikio bure kwa... Read More
Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt. Grace Magembe, ameeleza kufurahishwa na uwepo wa mashine ya kisasa ya CT-Scan katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kagera ambayo imewawezesha Madaktari katika h... Read More