All Clinics
Ni kliniki inayotolewa na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Ndani, inatolewa siku ya Jumanne na Ijumaa
huduma hutolewa kwa siku tano za wiki
Huduma hutolewa mara Moja kwa wiki
Karibu
Kliniki hii hutolewa kila
Huduma hii inatolewa na madaktari bingwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba
huduma hii inatolewa na madaktari bingwa wa meno kwa ufanisi mkubwa.
Ni huduma zuri inayotolewa na Daktari bingwa wetu. Siku ya Kliniki ni siku ya Jumatatu, Jumanne na Ijumaa. Karibu Tukuhudumie
Huduma ya Kliniki ya Lishe inayotolewa katika Hospitali yetu ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba ni huduma nzuri inayptolewa na wataalam wetu wa Lishe. karibu Tukuhudumie