Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba (BUKOBA_RRH) imeanza rasmi kutoa Huduma ya matibabu, upasuaji na kliniki kwa watoto wenye matatizo ya kichwa kujaa maji isivyo kawaida na mgongo wazi...Read more
Huduma ya Wagonjwa wa nje ni miongoni mwa huduma zinazotolewa katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa, Bukoba, huduma hii inatolewa masaa 24 kwa wiki
readmorekatika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba huduma ya upsauaji inatolewa kwa kiwango cha hali ya juu kutokana na kuwepo kwa daktari Bingwa wa Upasuaji ambao ushirikiana na madaktari wengine katika kuhakikisha huduma ya upasuaji inafanyika kwa weledi mkubwa...
readmoreHuduma hutolewa masaa 24 kwa wiki
readmoreHuduma hii inayotolewa hapa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba ni huduma nzuri na utolewa na madaktari bingwa wanaopatikana katika hospitali yetu.
readmore- No records found
- Posted on: July 4th, 2024
BUKOBA RRH YASHIRIKI SABASABA KWAKUTOA HUDUMA ZA VIPIMO, ELIMU NA USHAURI WA AFYA BURE KWA WANANCHI.
- Posted on: May 19th, 2024
KAMBI YA MAALUMU YA MATIBABU YA UPASUAJI WA FISTULA YAANZA RASMI KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA, BUKOBA
- Posted on: March 20th, 2024
RC MWASSA AWASIHI WANANCHI WA MKOA WA KAGERA KUENDELEA KUFIKA BRRH KWA AJILI YA KUPIMA NA KUFANYIWA UCHUNGUZI WA MAGONJWA YA MOYO
- Posted on: February 10th, 2024
DR. RUTABASIBWA KUTOKA MUHIMBILI AFIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA, BUKOBA NA KUPONGEZA UTENDAJIKAZI WA TIMU YA MADAKTARI IDARA YA UPASUAJI BRRH.
Jumatatu-Ijumaa
- From 06:00 to 07:00
- From 12:00 to 14:00
- From 04:00 to 05:00
Jumamosi-Jumapili
- From 13:00 to 15:30
- Kliniki ya Ngozi From 05:30 AM to 05:30 AM
- Kliniki ya Macho From 06:00 AM to 12:30 PM
- Kliniki ya Watoto From 06:00 AM to 06:30 AM
- Kliniki ya Afya ya Uzazi wa Baba, Mama na mtoto From 09:30 AM to 02:30 PM
- Huduma ya kliniki ya mifupa. From 05:30 AM to 06:30 AM