Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Bukoba
(Government Hospital)

Kliniki ya Magonjwa ya Ndani

Posted on: April 21st, 2025

Ni kliniki inayotolewa na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Ndani, inatolewa siku ya Jumanne na Ijumaa