Our Services
Huduma ya Wagonjwa wa nje ni miongoni mwa huduma zinazotolewa katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa, Bukoba, huduma hii inatolewa masaa 24 kwa wiki
readmorekatika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba huduma ya upsauaji inatolewa kwa kiwango cha hali ya juu kutokana na kuwepo kwa daktari Bingwa wa Upasuaji ambao ushirikiana na madaktari wengine katika kuhakikisha huduma ya upasuaji inafanyika kwa weledi mkubwa...
readmoreHuduma hutolewa masaa 24 kwa wiki
readmoreHuduma hii inayotolewa hapa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba ni huduma nzuri na utolewa na madaktari bingwa wanaopatikana katika hospitali yetu.
readmoreNi huduma bora ya kibingwa inayotolewa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba, utolewana na madaktari bingwa hususani katika siku ya Jumatatu na Ijumaa kuanzia majira ya saa 02: 30 asubuhi hadi saa 09:30 alasiri.
readmoreNi huduma ya kibingwa inayotolewa na madaktari bingwa wenye uzoefu na weledi wanaopatikana katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba, huduma hii utolewa siku jumanne ya kila wiki kuanzia majira ya saa 02:30 hadi 09:30 alasiri.
readmoreNi huduma ya kibingwa inayotolewa na madaktari bingwa wenye uzoefu na weledi wanaopatikana katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba, huduma hii utolewa siku Ijumaa ya kila wiki kuanzia majira ya saa 02:30 hadi 09:30 alasiri.
readmoreNi huduma ya kibingwa inayotolewa na madaktari bingwa wenye uzoefu na weledi wanaopatikana katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba, huduma hii utolewa siku ya Jumatatu, Jumanne, Jumatano na Alhamisi kila wiki kuanzia majira ya saa 02:30 hadi 09:30 ala...
readmoreNi huduma ya inatoolwa na wataalamu wa masuala ya lishe katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba, huduma hii inahusisha utoajiri waelimu kwa wananchi juu ya masuala yote yanayohusu lishe, huduma hii utolewa siku ya Jumatatu, Jumatano na Ijumaa kila wiki ...
readmoreHospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba inatoa huduma bora naya kisasa ya mahabara katika upimaji wa sampuli za magonjwa mbalimbali kwa haraka.
readmore