Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Bukoba
(Government Hospital)

Huduma ya lishe.

Posted on: December 21st, 2024

Ni huduma ya inatoolwa na wataalamu wa masuala ya lishe katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba, huduma hii inahusisha utoajiri waelimu kwa wananchi juu ya masuala yote yanayohusu lishe, huduma hii utolewa siku ya Jumatatu, Jumatano na Ijumaa kila wiki kuanzia majira ya saa 02:30 hadi 09:30 alasiri.