Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Bukoba
(Government Hospital)

Huduma ya mahabara

Posted on: February 19th, 2025

Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba inatoa huduma bora naya kisasa ya mahabara  katika upimaji wa sampuli za magonjwa mbalimbali kwa haraka.