Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Bukoba
(Government Hospital)

Huduma ya Wagonjwa wa Nje

Posted on: May 22nd, 2024

Huduma ya Wagonjwa wa nje ni miongoni mwa huduma zinazotolewa katika Hospitali ya Rufaa  ya mkoa, Bukoba, huduma hii inatolewa masaa 24 kwa wiki