Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Bukoba
(Government Hospital)

Huduma ya magonjwa ya watoto

Posted on: May 22nd, 2024

Huduma hii inayotolewa hapa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba ni huduma nzuri na utolewa na madaktari bingwa wanaopatikana katika hospitali yetu.