Wananchi wa Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera, wameendelea kuhamasishwa kujitokeza kwa wingi katika kambi maalum ya uchunguzi na matibabu ya afya ya macho inayoendeshwa katika Kituo cha Afya Nk... Read More
Wananchi wa Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera, wameendelea kuhamasishwa kujitokeza kwa wingi katika kambi maalum ya uchunguzi na matibabu ya afya ya macho inayoendeshwa katika Kituo cha Afya Nk... Read More
Wajumbe wa Bodi ya Ushauri ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba wameendelea kuweka mikakati madhubuti ya kuboresha huduma baada ya kufanya kikao chao leo na kujadili masuala muhimu yanayohu... Read More
Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba wamepatiwa elimu muhimu kuhusu Haki na Wajibu wa Mteja (mgonjwa) na Mtoa Huduma za Afya kupitia wasilisho lililotolewa na Afisa Tawala na Rasi... Read More
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kagera, Dkt. Museleta Nyakiroto, amewasihi watumishi wa hospitali hiyo kuendelea kutoa huduma bora, zenye upendo na weledi kwa wananchi wa... Read More
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Bukoba, kupitia Idara ya Sikio, Pua na Koo (ENT), imeadhimisha Siku ya Usikivu Duniani kwa kutoa elimu kuhusu usikivu na huduma za uchunguzi wa masikio bure kwa... Read More
Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt. Grace Magembe, ameeleza kufurahishwa na uwepo wa mashine ya kisasa ya CT-Scan katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kagera ambayo imewawezesha Madaktari katika h... Read More
Wananchi wametakiwa mkoani Kagera wamatakiwa kufika katika kituo cha afya mapema pale wanapohisi kuwa dalili zalisizokuwa za kawaida. Rai hiyo imetolewa leo Januari 24, 2025 na Mganga M... Read More
Madaktari Bingwa wa Sikio, Pua na Koo (ENT) wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba Kagera kwa kushirikiana na timu ya wataalamu wa usingizi wamefanikiwa kumuokoa mtoto wa miaka minne (4) aliy... Read More
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba leo tarehe 6 Januari 2025, imepokea ugeni wa Maafisa wa Bohari ya Dawa (MSD) kutoka makao makuu wakishirikiana na MSD Kanda. Ziara hiyo ni sehemu ya m... Read More
Serikali kupitia Wizara ya Afya imepanga kujenga jengo maalum la Mama na Mtoto katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kagera, Bukoba, ikiwa ni sehemu ya mkakati wake wa kuboresha huduma za afy... Read More