Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Bukoba
(Government Hospital)

Ukaribisho

profile

Dkt. Museleta M. Nyakiroto
Mganga Mfawidhi

Kwa niaba ya familia ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Bukoba, napenda kuwakaribisha katika tovuti yetu na kushiriki nawe dhamira yetu kamili ya kutoa huduma ya kipekee, salama kwa wagonjwa na huduma ya huruma kwa wagonjwa wetu wote na familia zao. Utapata taarifa kuhusu huduma zetu za m...

Read more

Our Services All

Huduma ya Wagonjwa wa nje ni miongoni mwa huduma zinazotolewa katika Hospitali ya Rufaa  ya mkoa, Bukoba, huduma hii inatolewa masaa 24 kwa wiki

readmore

katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba huduma ya upsauaji inatolewa kwa kiwango cha hali ya juu  kutokana na kuwepo kwa daktari Bingwa wa Upasuaji ambao ushirikiana na madaktari wengine katika kuhakikisha huduma ya upasuaji inafanyika kwa weledi mkubwa...

readmore

Huduma hutolewa masaa 24 kwa wiki

readmore

Huduma hii inayotolewa hapa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba ni huduma nzuri na utolewa na madaktari bingwa wanaopatikana katika hospitali yetu.

readmore

Matukio All

  • No records found

Patient Visiting hours

Jumatatu-Ijumaa

  • From 06:00 to 07:00
  • From 12:00 to 14:00
  • From 04:00 to 05:00

Jumamosi-Jumapili

  • From 13:00 to 15:30

Today's Clinics All