Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Bukoba
(Government Hospital)

Bodi

Hospitali ya Rufaa ya Mkoa,Bukoba  kwa sasa inaundwa na jumla ya wajumbe 14 ambao wanendelea kuisimamia Hospitali pamoja na Kamati Tendaji ya Hospitali [RRHMT] na Kamati Tendaji wa ya Mkoa [RHMT] katika kuhakikisha Kazi za kila siku zinafanyika kwa lengo la kuimarisha huduma bora wakati wote.

Wafuatao ni wajume wa Bodi ya Ushauri ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba

1. Bw. Pius B. Ngeze                           -   Hospital Board Chair Person.

2. Dkt. Museleta M .Nyakiroto           -   Hospital Board Secretary (MOI-Buokba RRH).

3. Mhe. Sheikh Haruna Kichwabuta    -  Member.

4. Bw. Elias Mashasi                             -  Member.

5. Dr Marko Mbata                              - Member (RMO).