Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba (BUKOBA_RRH) imeanza rasmi kutoa Huduma ya matibabu, upasuaji na kliniki kwa watoto wenye matatizo ya kichwa kujaa maji isivyo kawaida na mgongo wazi... Read More
Habari
BUKOBA RRH YASHIRIKI SABASABA KWAKUTOA HUDUMA ZA VIPIMO, ELIMU NA USHAURI WA AFYA BURE KWA WANANCHI.
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba (Bukoba_RRH) imeshiriki maonyesho ya Biashara, Viwanda, Utalii na Bidhaa za Kilimo yanayoendelea katika viwanja vya CCM Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera kw... Read More
Kambi ya siku tano ya matibabu ya upasuaji wa Fistula na msamba imeanza rasmi siku ya leo tarehe 20.05.2024 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba. Kambi hiyo inaendeshwa na timu ya ... Read More
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajati Fatma Mwassa amewasihi wananchi wa Mkoa wa Kagera kuendelea kuchangamkia fursa ya kufika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba (BRRH) kwa ajili ya kupima na kuchun... Read More
Daktari Bingwa Mbobezi wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dr. Nicephorerus Rutabasibwa ameitembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba (BRRH) na kutoa pongez... Read More
Watumishi wa Afya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba wamepatiwa mafunzo ya siku mbili ya mfumo mpya wa Public Employees Performance Management Information System (PEPMIS) unaolenga kupima ut... Read More
Timu ya Dharura ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba (BRRH-RRT) imekaa kikao cha dharula na kupeana mipango na mikakati mbalimbali jinsi ya kuendelea kukabiliana na magonjwa ya mlipuko husu... Read More
Watumishi wa Afya kutoka Idara na Vitengo tofauti tofauti Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba (BRRH) wamejitokeza kwa wingi kupima afya ili kuweza kutambua afya zao. Watumishi hao wamejito... Read More
WATUMISHI wa Afya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba (BRRH) wamepatiwa mafunzo ya lugha ya alama kutoka kwa wataalam wa lugha ya alama BRRH baada ya kupatia mafunzo ya lugha ya alam... Read More
Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera Toba Nguvila ameipongeza menejimenti ya Hospiatali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba hususani Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo pamoja na watumishi wote... Read More