Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na watoto
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Bukoba
(Government Hospital)
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Bukoba
(Government Hospital)
TANGAZO KWA UMMA: MWEZI SEPTEMBA NI MWEZI WA UELIMISHA NA UPIMAJI WA AWALI WA UGONJWA WA SELIMUNDU (SICKLE CELL DESEASE), KARIBU BRRH KWA HUDUMA YA UPIMAJI WA AWALI NA UELIMISHAJI JUU YA UGONJWA WA SELIMUNDU KUANZIA TAREHE 11/09/2023 HADI 30/09/2023