Huduma ya Masikio, Pua na Koo
Posted on: May 9th, 2025Ni huduma bora ya kibingwa inayotolewa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba, utolewana na madaktari bingwa hususani katika siku ya Jumatatu na Ijumaa kuanzia majira ya saa 02: 30 asubuhi hadi saa 09:30 alasiri.