Huduma ya kliniki ya mifupa.
Posted on: December 21st, 2024Ni huduma ya kibingwa inayotolewa na madaktari bingwa wenye uzoefu na weledi wanaopatikana katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba, huduma hii utolewa siku jumanne ya kila wiki kuanzia majira ya saa 02:30 hadi 09:30 alasiri.