Huduma ya magonjwa ya macho
Posted on: January 26th, 2025Ni huduma ya kibingwa inayotolewa na madaktari bingwa wenye uzoefu na weledi wanaopatikana katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba, huduma hii utolewa siku ya Jumatatu, Jumanne, Jumatano na Alhamisi kila wiki kuanzia majira ya saa 02:30 hadi 09:30 alasiri.