Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Bukoba
(Government Hospital)

Huduma ya Upasuaji

Posted on: October 2nd, 2022

katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba huduma ya upsauaji hutolewa kwa kiwango cha hali ya juu sana kwa sababu ya kuwepo kwa Daktri Bingwa wa Upasuaji ambaye hushirikiana na Madaktari wengine katika kuhakikisha huduma za upasuaji zinafanyika kwa ueledi zaidi.